Namkumbuka kama Julie kwenye 24 season 2 au 3 hivi ambapo alikuwa mpenzi wa mdogo wa rais Palmer. Nilimpenda zaidi kama Anna Espinosa kwenye ALIAS alipokuwa akimsumbua sana Sidney Bristow.