i lead tanzania
Member
- Jul 15, 2013
- 15
- 6
I LEAD TANZANIA,
Inataka wewe kuacha kunyoosha vidole ukizungumza na kuwalaumu wengine. Badala yake, inakusukuma wewe kusimama na kuhesabiwa.
Kwa mara moja katika maisha yako, kuwa mabadiliko unayotaka kuona katika mazingira inayo kuzunguka wewe. wacha kuzungumza kwa nadharia. Acha kulaumu na kulalamika.
Amka na usimame kijana,nawe utambulike.
"Kama unataka kufanya dunia na nchi yako kuwa mahali bora, jiangalie mwenyewe, na ufanya mabadiliko".