I kinda lyk this

:becky::becky::becky::becky::becky::becky:
 
Nahisi cjaelewa kabsaaa!!!

Mama hapo cjui ni baa ama Husband care ni ka sehemu maalum ka kuwatunza waume zetu katika mida ile tukiwa busy kazini,ama kwenye vibanda vyetu vya mama Ntilie ama kazi zetu za umachinga
 
Angalieni katika moja ya hiyo "care" kusijekuwa na massage, mnaweza kuibiwa kabisaaaa.
 
Duh! hiyo care gani jamani, natamani wangu anipeleke hapo apate msaada wa kuni-care!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…