I have Fall in Love With JF Man....

Hujaacha ku fall inlove tu hizo mambo waachie wajukuu wako umri ushaenda, Sasa ni wakati wa kutubu
 
Fu*ck off na broken zako... Next time admit makosa na ujirekebishe, don't hide your poor language under the so called "story ya mahaba"!
 
Ras simba anahitajika huku
 
Wabongo bana tupo negative kweli kweli. Yaani bandiko lote umeona hilo tu! Hivi unajua kuna watu wa Asia wapo Silicon valley na wana kiingereza kibovu tu.


Sent from my iPhone using JamiiForums
Watu wa Asia wananihusu vipi? BTW unataka kusema wewe uko positive kwenye hayo makosa! Mtu akikwambia umekaa vibaya, unajirekebisha!
 
Watoto wa Jf basi wakitoka tu kwa rasi simba hatupumui, kidogo tu washaanza kukosoa wanasahau sie kiingereza tulikisomaga wakati mama zao na baba zao hawajabalee😁
 
Watu wa Asia wananihusu vipi? BTW unataka kusema wewe uko positive kwenye hayo makosa! Mtu akikwambia umekaa vibaya, unajirekebisha!

Niko positive kwenye hayo makosa kwa sababu hakuna anayekufa kwa kukosea spelling au grammar, na vile vile Kiingereza sio lugha yetu( ndio maana nimekutolea mfano wa watu wa Asia wenye successful career sehemu mbali mbali duniani including Sillicon Valey, USA ingawa Kiingereza chao sio perefect).
 
Tumbili ngabu unahitajika huku haraka sana na k matata

Maendeleo hayana chama

Jamanii, mbona mnamnanga swahiba wangu Nyani kuwa ndo Dadii ilhali nilishaweka wazi kwenye uzi kuwa huyo sie..??

Dadii wa Kasie hana makeke kama Ngabu wala hana English kama ya Ngabu. Kwanza ID yake haina michango mingi yeye ni kusoma tuu hanaga za kuchangia nyuzi.

Halafu alijiunga JF mwaka 2011, sasa Ngabu yuko humu tangu 2009 kama sikosei.

Ngabu ni swahiba wangu tuu kama ilivyo kwababu Asipiro Asprin

Ukimkuta Kasie na mmoja wa hao wazee, hata utufungie chumba kimoja usiku mzima, asubuhi utatukuta tuko vilevile kama ulivyotuacha sanasana tutakuwa tumelewa pomoni na chimpumu heheheheee.

Uzi unaofuata baada ya huu ntamuweka Dadii wangu ili muache kuhisi watu humu kuwa ndio Dadii.

Kasinde.
 
Ha ha ha don't be too picky,because there is nothing like the perfect woman. ... You should be in the position to know who is after money

Who is after money by the way....!!!???
 
Hivi kasie tulishatakiana heri za huu mwaka?


Daby.....

Umenipa kiu ya kukuanzishia uzi......

Namaanisha kukuimbia wimbo....

Leiguanan....

Nimekumiss kijana wewee..... so long ago......

Makutano yetu kipindi kile yalisongwa sana na viburudisho vya humu JF hadi yakapotelea baharini hehehehheee

Heri ya mwaka mpya baba yeyooo, msalimie nduguyo Azarel.

Kasie Mahaba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…