Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,156 Reaction score 13,268 Apr 10, 2016 #1 LEO KATIKA #HISTORIA 1968: Martin Luther King Jr alizikwa katika mji wa Atlanta, Marekani. King Jr aliuawa kwa sababu ya harakati zake za kutetea haki za watu weusi. Alipata umaarufu zaidi baada ya hotuba yake maarufu ya “I Have a Dream”.
LEO KATIKA #HISTORIA 1968: Martin Luther King Jr alizikwa katika mji wa Atlanta, Marekani. King Jr aliuawa kwa sababu ya harakati zake za kutetea haki za watu weusi. Alipata umaarufu zaidi baada ya hotuba yake maarufu ya “I Have a Dream”.