I experienced in project planning management

I experienced in project planning management

Wadau nimesoma ktk post zenu, sijaelewa kabisa nn kinaendelea, majibizano hayo sielewi. Sio wew ni shule za kata ndo nn?
 
Wadau nimesoma ktk post zenu, sijaelewa kabisa nn kinaendelea, majibizano hayo sielewi. Sio wew ni shule za kata ndo nn?

Kinachoendelea ni kwamba mtoa thread lugha aliyoitumia inampiga chenga - ndio sababu ya comment ulizoziona. Pia hajaeleza shida yake.
 
Shadrack ungeandika kwa kiswahili ungeweza kujieleza kwa vizuri zaidi.

Lugha imekupiga chenga mdogo wangu sasa hiyo project planning sijui itakwenda vipi?
 
Shadrack ungeandika kwa kiswahili ungeweza kujieleza kwa vizuri zaidi.

Lugha imekupiga chenga mdogo wangu sasa hiyo project planning sijui itakwenda vipi?

ajakosea dogo banah. refer bold text. this is to plan anything b4 implemented.
 
...Hii inaitwa umaimuna...!!

Unaweza kujipa kadi nyekundu mwenyewe hata kabla refa hajapiga kipyenga.

Just use whatever is called lugha ya taifa. At first when I saw the thread, I thought maybe it's just a typo, but after same is repeated under the contents, I knew this is a results of the maisha bora kwa kila mtanzania bs !!

Wadau nimesoma ktk post zenu, sijaelewa kabisa nn kinaendelea, majibizano hayo sielewi. Sio wew ni shule za kata ndo nn?
 
duh vp kaka ndo una degree?..
ya project plann or? maana umenitisha mkuu
 
Lugha za watu hizi zilikuja na Majahazi hizi!!!!!!!! Ukiongezea na shule zetu! Burudani kama hivi!
 
Daaah. Kweli maisha magumu, mpaka mtu haelewi anataka nn...
 
Alafua anaonekana ana ghadhabu........yezakuwa stress za kusota kitaa,msameheni bure
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom