Umejifungua jana?
Umejifungua jana?
Umejifungua jana?
Ni nani yako huyo
Mumeo?
Mchepuko?
Boyfriend?
Mchumba?
Mpenzi?
Sex partner?
Mshkaji tu?
Unashangaa nini?
maswali ya kipumbavu kipi ambacho hujaelewa hapo au unafurahia matatizo ya mwenzako.
Well inawezekana .Hivi mkuu snowhite inawezekana mwanamke akajifungua jana na akawa na uwezo wa kuingia mtandaoni na kupost habari?
Nikwambie kitu!
Pita hiviiiiii>>>>>>>>>>>
Mbele utakuta kibao kimeandikwa IGNORE LIST!
BOFYA HAPO!
sawa enh?
Vinginevyo utaikimbia hiyo ID yako!
Hivi mkuu snowhite inawezekana mwanamke akajifungua jana na akawa na uwezo wa kuingia mtandaoni na kupost habari?
Ahahahahahaha best si nilishakuelekeza la kufanya lakini?[/color]
wewe unikimbize humu? kwa lipi ulilo nalo la kunikimbiza humu.
Umejifungua jana?
Nikwambie kitu!
Pita hiviiiiii>>>>>>>>>>>
Mbele utakuta kibao kimeandikwa IGNORE LIST!
BOFYA HAPO!
sawa enh?
Vinginevyo utaikimbia hiyo ID yako!