Huu Ndo ubinafsi Wa wanaume, haujui hawaruhisiwi kuwa na Simu shule, na akiwa NAyo anajificha, wewe unataka niñi sasa? Hujui anasoma? Acha upuuzi wewe!
QUOTE=Rowland Joseph;3753409]She is so wonderfu and extremely supportive but tangu aende shule Moshi huwa hapokei au kuni jibu meseji zangu, am really confused coz i cherish her love and care. Nisaidieni nifanyeje ?[/QUOTE]
Watoto siku hizi hawasomi bila mahaba....
Kama huyo denti angekuwa katulia asingekuwa na huyu jibaba...kumbuka hawa ni wapenzi sema shule imewatenganisha tu....
Kwanza alisikia unamwonea huruma ye ndo atakushangaa sana unapoteza muda...
Mambo siku hizi ni msambamba