I can't forgive JK for this!

IslamTZ

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
309
182
- Dadangu anatengeneza juice na ice cream, biashara imekufa baada ya hasara mfululizo inayotokana na kuoza kwa bidhaa hizo kwa sababu hamna umeme.
-Kaka yangu ni kinyozi, bahati mbaya hana jenerator katika saloon yake na hivyo anafanya kazi robo siku na kipato chake kimepungua maradufu.
-Babangu mdogo ni mchomeaji (welding). Hakuna kazi huko kwani hakuna umeme.
-Wote hao juu wana watoto wanaowasomesha secondari na msingi, wamenifata wakiniomba msaada eti niwasaidie ada.
-Binafsi naandika dissertation yangu ya MA. Muda umeniishia, umeme hamna, kazi haiendi.
Jk sitokusamehe kwa hili la mgao!! asilani kwani you have hurt my family and myself.
 
Nakubaliana na wewe na nakuunga mkono,

sii kwa kumchukia Kikwete,

Bali kwa kuona kwamba Kikwete ana mchango mkubwa kwa hili tatizo.

Bado hatujachelewa sana.

Tujenge nchi yetu,

> Katiba ya watu
>Uzalendo (tujufunze na tuwafundishe watoto wetu)
>Tuwe wabunifu
>Tusiwe watu wa kulaumu tuu, tuje na mbadala
>nk
 
uchumi ulioanza kujikongoja umedidimizwa chini na yeye si ajabu atasema hajui maana huwa hajui vitu
 
Back
Top Bottom