platozoom
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 9,366
- 11,154
I've tried that, even to a point of psychoengineering lakini wapi, thats why I thnk I need a nice advice of what to do to get me through this.
Unataka kuwa mwanaume shujaa? ngoja nikwambie wengi wmeumizwa na bado wanaumizwa si wewe peke yako na msiba wa wengi harusi....sikiliza si jambo rahisi kumtoa kwenye fikra uliempenda sana...Hebu uwe unapitapita humu Jf tafuta kitu ambacho kina interest kwako,iwe michezo au hata mijadala.Hutoweza kumsahau mara moja lakini kidogokidogo atakutoka kichwani.Halafu utakuja kushangaa kwa nini hukufanya maamuzi mapema.
Hebu kuwa shujaa wa MMU mwezi huu kwa kuvunja kikombe.Halafu njoo MMU ukiwa mtu mpya.