Nimetoka nyumbani saa 11 alfajiri.
Nimefika kibaruani saa 2 na nusu asubuhi. Cha ajabu mimi ni miongoni mwa tuliowahi!
Huu uchumi ndio kuukuza au kuua?

mkuuMuungwana anasema wenye mahoteli watapata, wenye taxi watapata hahahahh anasahau wafanyakazi hawataproduce....ama kweli wabongo tuliangalia sura badala ya ufanisi wakati wa uchaguzi...
Kazi ipo.
Wanasiasa wetu waache kuwadanganya watu kuwa watafaidika na hii mikutano.
Sana sana bwana mkubwa anatumia fursa hii kuuza sura nje.
haahahahahaha!leo wadau wa idara wamenibana sana kuna wazungu wanakuja kutathmini pesa zao walizotoa za kutufundisha kupanda miti na kunawa mikono
unless tuifanye saa moja na kuendelea
Kazi ipo.
Wanasiasa wetu waache kuwadanganya watu kuwa watafaidika na hii mikutano.
Sana sana bwana mkubwa anatumia fursa hii kuuza sura nje.
bujibuji - kuwaachia wana siasa hafiku kutuamulia hatma ya taifa letu - imesha-tucost vya kutosha sasa ni muda wa watu makini wa step-up waingie kwenye uongozi.
Msije kushangaa siku moja ugeni unakuja tunaambiwa tukadeki kabisa hii barabara hii ya ally hassan mwinyi kwa zamu kabla waheshimiwa hawajapita wasimalizi ffu.
haahahahahaha!
manake dah!najiuliza hii foleni tukutuku litakata mafuta hata mwenge sijaiona
hahahaha!lets ask ourselves... Hii mikutano ni cost effective??
we acha bana, wakati wa Sullivan watu walitoka biharamulo, mtwara,yaeda n.k macanter yamejaa vinyago mkulu kawaambia watauza...kilichotokea kumbe Seif (cultural heritage) ameshatayarishwa wageni wote wameenda kuzoa vinyago na mawe (tanzanite) yote kule....masikini sijui wale wafanyabiashara walisurvive vipi na hasara ile

hahahaha!hivi yule mangi sijui URIO yule wa pale kona bar bado yupo?labda watakuja kona bar kupata mishkaki!!!