Aisee kuweni na huruma basi.Dada, 30yrs ulitskiwa kuwa na watoto 3 jua linaelekea saa 12 bado unakuja na vigezo vya form six, kwanza ushatumika saaaana, atakayekuoa ajipange
Mkuu kivip aiseeeww ni mpuuzi
Mkuu kivip aiseee
Ndio hivo tunatest mitambokiingereza chako kimenichekesha sana
Huyu mtoa mada unaweza kuta ni mmoja wenu!
All of that is for mee 😎😎😎Your English is stinking like shithole.
I was about to puke when I tried to read it.
NakutafutaKwanini umesema hivyo?
Umenitafutia wapi best, mbona mi nipo nimejaa tele kama pishi la mcheleNakutafuta

Umenitafutia wapi best, mbona mi nipo nimejaa tele kama pishi la mchele![]()
Sipo vizuri best, Pasaka inanipita bila bila fanya mpango ili baadae tukutane kwenye uzi wetu pendwa wa wanywa pombeHahahaha, kumbe upo vzr


Sipo vizuri best, Pasaka inanipita bila bila fanya mpango ili baadae tukutane kwenye uzi wetu pendwa wa wanywa pombe![]()
Ooh usinifanyie hivyo best, kumbuka tulikotokaHahahaha, we si unanipotezea ?acha tu ikupite
