I am looking for any job

I am looking for any job

sister lucky

Member
Joined
May 10, 2015
Posts
13
Reaction score
5
Hi veryone

I am looking for any legal job any where in Tanzania so that I can meet with my daily expenses.

Am capable of doing any job as long as am given some few trainings about the job.

Anyone interested plz pm me for more informations
 
Labda tu nikushauri:
1) Hakuna kitu kibaya kama kusema unatafuta kazi ili uweze kutimiza mahitaji yako(unataka kazi ili upate pesa).
2) Unapoweka tangazo kama hili lazima usema una elimu gani au/na uzoefu wako ili tujue aina gani ya kazi itakufaa, pia unaweza kusema kazi zipi unaprefer. Hakuna mtu anayeweza kufanya kazi YOYOTE.
3) Mawasiliano ni muhimu, sio wote wana muda wa kuPM,mwenye shida ni wewe hivyo usinipe kazi tena mimi boss kukutafuta. Kuna watu sio member wa Jamii Forums hivyo hawawezi kukutumia msg lazima uweke mawasiliano.
ALL THE BEST
 
Yani wewe una shida ya kazi then tuku pm?
Elim yako hujaweka..?
Uko wapi?
Umri?
How many languages?
Mficha uchi hazai..
Nimeshawahi kuajiri watu wa aina yako wanaosema wanaweza kufanya kazi yoyote , but after 3 weeks wanakimbia. Kazi yenyewe ni kutumia akili tu
 
Labda tu nikushauri:
1) Hakuna kitu kibaya kama kusema unatafuta kazi ili uweze kutimiza mahitaji yako(unataka kazi ili upate pesa).
2) Unapoweka tangazo kama hili lazima usema una elimu gani au/na uzoefu wako ili tujue aina gani ya kazi itakufaa, pia unaweza kusema kazi zipi unaprefer. Hakuna mtu anayeweza kufanya kazi YOYOTE.
3) Mawasiliano ni muhimu, sio wote wana muda wa kuPM,mwenye shida ni wewe hivyo usinipe kazi tena mimi boss kukutafuta. Kuna watu sio member wa Jamii Forums hivyo hawawezi kukutumia msg lazima uweke mawasiliano.
ALL THE BEST

Duuh umeshukaa
 
Back
Top Bottom