I Am Looking For A Job.

eti "I posses excellent inter personal skills " kiingereza cha wapi hicho ndugu hahaaaa
Mtanzania akikosea kiingereza inakuwa shida, ila mwingereza akikosea kiswahili unaona sawa tu!

Wake up!
 
Wenye nafasi msaidieni huyu mdada.

-Kaveli-
 
Thank You So Much Kaveli.... Umeniongezea kitu kichwani.
 
eti "I posses excellent inter personal skills " kiingereza cha wapi hicho ndugu hahaaaa


Be positive. Msahihishe alipokosea. Utakuwa umemsaidia kuimprove English yake.
Lakini unapobeza tu na kucheka pasipo kutoa usahihi unaotakiwa, basi Elimu yako haijakukomboa.

-Kaveli-
 
Hongera kwa kupata Diploma.
Sitaki nirekebishe kiingereza kwa kuwa umeeleweka kuwa unahitaji kazi.

Ukiandika maombi ya kazi jitahidi kutumia maneno yako machache usinakili maneno ya watu wengine.

Jieleze kwa ufupi na hakikisha unachoeleza kinaeleweka.

Mambo kama hobby hayana maana sana katika kuomba kazi.

Ni vizuri pia ukawa na uelewa wa kazi zinazofanyika kwenye taasisi unayoomba kazi na useme wewe unawrza kuwa msaada katika shughuli zipi, walao kwa ufupi tu.

Nakutakia kila la heri
 
Thank you My Leader... Najifunza pia kupitia positive comments zenu... God bless you
 
Wabongo bana anaponda badala ya kumsahihisha mtu hayo ni makosa ya kimaandishi tuu ndugu dada nakupa hongera na mungu atakutangulia
 
Hapa angekuwa jamaa yangu Bonny au Daby angejiongeza na kumwambia watafutane ili amwelekeze vizuri.

Safi sana mkuu.


Pamoja sana mkuu.
Hahaha pengine labda Daby anafeel konfotabo zaidi akifundishia PM au nje ya JF kuliko hapa sebuleni. Lol

-Kaveli-
 
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…