GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,059
- 126,650
Kuna jamaa apo juu kasema na wewe eti hujui
"Ukiwa na busara na uelewa wa kuelewa kua sote tulitoka kwenye matumbo ya mama zenu tukiwa hatuijui hata "a",.., tukakuta kitu kinachoitwa "KUJIFUNZA", basi hutopata shida kucheka makosa ya mtu kwenye kitu ambacho alijifunza kama wewe ulivyojifunza'..... (otherwise ulizaliwa tayari unajua).
Ukiachilia mbali lugha ya kingereza ambayo ni lugha tuliojifunza darasani, Kiswaili ni lugha yetu ya Taifa lakini bado kuna Watanzania wengi ambao wanakosea kwenye lugha hii hii yetu... (yamkini hata mimi naandika apa pia naweza kua nimekosea mahali, naruhusu kusahihishwa)...
"You might be running already while am still learning on taking steps, instead of laughing at me that i can't walk well, it would have sound better if you could hold my hands and stand to correct me"....
Thank You,
Ubarikiwe sana mkuu.Nijibie kwa niaba yake kwa kumwambia kuwa Mimi ni ' Wordsmith ' tokea mdogo na sijawa ' Mfuasi ' wa Ras Simba ' ukubwani ' kama Yeye. Narudia tena kusisitiza na kukuambia Wewe ' Kidudu Mtu ' kuwa acha kuwa ' Mpumbavu '. Nimemaliza nawe rasmi.
May god be with you lady with great potential!Hello Everyone,
Referring To The Heading Above,
I Am A Tanzanian Lady, 23 Years Old,
Holding A Diploma In Procurement & Logistics Management ', i posses excellent inter personal skills, self driven, innovative, able to work under minimum supervision, quick learner and highly self motivated, ability to produce quality output under tight deadlines and able to handle variety of activities concurrently.
My Professional Skills.
*Computer software
Microsoft Word
Microsoft Excel
*Good communication skills
*Good interpersonal skills
*Ability to work well in a team
*Good at problem solving techniques
*Ability to adapt to a change of working environment.
Person Attributes.
I am.... honest, responsible, good character, accountable and hard working.
Hobbies.
* typing and designing different types of documents
*interaction and social life in general
*Internet.
I can work in Clearing & Forwarding Companies, In procurement and logistics departments, and in any other departments that my knowledge and ability can fit in.
I can also work in any other places too,.
i. e Super markets
Food Firms
Hotels
Media Companies...
Please consider me and, send me a Private Message.
Thank You..
Ubarikiwe sana mkuu.
Ila nyie wasomi wa sikuhizii mnatukanaa hata kwa mahali pasipostail
Haya bwana kisa sijui kizungu, mi kidudu mtu!!!!!
Mh Kwani wewe ni simba ?Usimchokoze Simba kwani kuna mawili ama akuraruwe au akuue kabisa. Kila la kheri!
Vyote hivi ni wewe mweshmiwa?Unauliza Mimba Mtwara na Lindi?
Usikute mtu mwenyewe anayekosoa hana hata office ya kuajiri hata mfagia office, kibaka tu, kama vibaka wengine!Kama Amekosea correct her, ukimcheka itamsaidia nini?
Vyote hivi ni wewe mweshmiwa?
Nisamehe bure mkuu wangu.Hivi si tumeshamalizana au? Endelea tu kujaa taratibu kunako ' frame '.
Tumia akili japo km punje ya saradani!eti "I posses excellent inter personal skills " kiingereza cha wapi hicho ndugu hahaaaa
Hello Everyone,
Referring To The Heading Above,
I Am A Tanzanian Lady, 23 Years Old,
Holding A Diploma In Procurement & Logistics Management ', i posses excellent inter personal skills, self driven, innovative, able to work under minimum supervision, quick learner and highly self motivated, ability to produce quality output under tight deadlines and able to handle variety of activities concurrently.
My Professional Skills.
*Computer software
Microsoft Word
Microsoft Excel
*Good communication skills
*Good interpersonal skills
*Ability to work well in a team
*Good at problem solving techniques
*Ability to adapt to a change of working environment.
Person Attributes.
I am.... honest, responsible, good character, accountable and hard working.
Hobbies.
* typing and designing different types of documents
*interaction and social life in general
*Internet.
I can work in Clearing & Forwarding Companies, In procurement and logistics departments, and in any other departments that my knowledge and ability can fit in.
I can also work in any other places too,.
i. e Super markets
Food Firms
Hotels
Media Companies...
Please consider me and, send me a Private Message.
Thank You..
thank you 'Hebu rekebisha kidogo na uonyeshe Unaweza kufanya nin kwenye hilo eneo la procurement...kuwa self motivated na kujua ms office na program zingine za computer pekee hazitoshi kukuuza kwenye soko la ajira..sema unaweza kufanya nini? Labda kuandaa tender documents au kuandaa procurement plan etc etc..rekebisha kidogo hapo otherwise all the best
Kaona kosa 1 tu,,, huko alikopatia kote hajampongezaKama Amekosea correct her, ukimcheka itamsaidia nini?