EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,709
- 35,712
Kwanini mkuu😀😀Nilimtazama nikamwambiauna bahati umepata sur ya mama yako ungepata ya kwangu ungekoma...
Nshaamka Nipo nae hapa tunachezaUmeshaamka au bado unaendelea kuota
Nina sura ya kazi sasa mtoto wa kike akipata sura ya kazi basi ni shidaKwanini mkuu😀😀
[emoji28]pole rafikiNikipenda sijifichi.kama nakupenda nakwambia nakupenda.nilimpenda mtu kabla sijaitia sura yake macho.nilipomtia machoni nilimpenda zaidi.nilimuonyesha na kumwambia kuwa nampenda siwezi ficha.ila mwamba nahisi hakunipenda kama nilivyompenda.niliumia.nikaingiza roho ya ubinfsi wa kujipenda mwenyewe,ghafla upendo uliingia nyongo mpka dakika hii siamini kama ndie mimi niliyekuwa nikimpenda mshkaji namna ile aiseh[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
😅😅asante[emoji28]pole rafiki
Hadi afikie miaka 18 sio leo mkuuMtaachana Tuu
Bora mzee baba ila ana vielementi vyako kwa mbaaaliNina sura ya kazi sasa mtoto wa kike akipata sura ya kazi basi ni shida
Yah vielement flani hivi kama vyanguBora mzee baba ila ana vielementi vyako kwa mbaaali
Hem tupe picha kidogoNikipenda sijifichi.kama nakupenda nakwambia nakupenda.nilimpenda mtu kabla sijaitia sura yake macho.nilipomtia machoni nilimpenda zaidi.nilimuonyesha na kumwambia kuwa nampenda siwezi ficha.ila mwamba nahisi hakunipenda kama nilivyompenda.niliumia.nikaingiza roho ya ubinfsi wa kujipenda mwenyewe,ghafla upendo uliingia nyongo mpka dakika hii siamini kama ndie mimi niliyekuwa nikimpenda mshkaji namna ile aiseh😅😅😅😅
Acha hasira mtoto wa kike uende mbinguni😅😅asante
Napenda sana,miyeyusho ikizidi nyongo inaingia ghafla.
Hapo fresh mkuuYah vielement flani hivi kama vyangu
Nishakupa picha hiyo hapo kaisafisheHem tupe picha kidogo
Aya bhanaNishakupa picha hiyo hapo kaisafishe
Mhmhmh jirani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tumeanza kufichana tangu liniNikipenda sijifichi.kama nakupenda nakwambia nakupenda.nilimpenda mtu kabla sijaitia sura yake macho.nilipomtia machoni nilimpenda zaidi.nilimuonyesha na kumwambia kuwa nampenda siwezi ficha.ila mwamba nahisi hakunipenda kama nilivyompenda.niliumia.nikaingiza roho ya ubinfsi wa kujipenda mwenyewe,ghafla upendo uliingia nyongo mpka dakika hii siamini kama ndie mimi niliyekuwa nikimpenda mshkaji namna ile aiseh[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Ukiendekeza mapenzi yanayoanza kuumiza unawezapoteza furaha.maisha ni mafupi jamani😅😅Acha hasira mtoto wa kike uende mbinguni