ha ha ha wacha weee kijana wangu una maneno matamu kama tende
nipogo, long time sijakuona!!!
Ndio maana sometimes JF inaonekana haina maana kwa ujinga wa watu wachache.
mwaaaaah nshakutumia namba yangu ya m-pethayani kila tukimeet nikikuona tu ulivyo umbika kiutamu moyo wangu hucheza kiduku... gutu gutu gutu gutu! mwanamke lainiiii ata kubonyeza remote huwezi. Nakupenda sana wewe auntii, walahi lazima nikuzalishe watoto mapacha!
Nipo jimama langu classic, nilikuwa chimbo kidogo kusaka chapaa ili nami nianze kukuhonga, sio daily wewe kunihonga mimi tu, nakosa full confidence bhana. Afu I want to gift u today for my long disappearance, let the inbox do it all. Mahaba niteketeze mie kwa huyu mmama, yeye ndo orijino wengne wote feeeekii!! :smile-big: :redface:
Mmmh...walambe..kama kulamba tu hata mimi ningewalamba, japo inategemea wanataka kulambwa wapi....
hahaha me ndo maana nakupendaga we mchagga a.k.a macho kwa ankara. SEX is easy, but LOVE is expensive. So better to go for the easy one
Kuna kanuni moja inasema:-
Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu.
Hapa kachemka
huyo hajachemka ila zamani alukuwa dem sasa kuna mabaliko yalitokea kwenye mwili akawa njemba tena iliyooa
mwaaaaah nshakutumia namba yangu ya m-petha