tuna lugha ambayo imetuunganisha pamoja na kuweka tofauti zetu mbali,tanzania ni nchi ambayo unaweza kuishi na mtu zaidi ya miaka bila kujua kuwa huyo mtu ni kabila gani na kwa nini uongee lugha ya kabila lako katika mazungumzo ya watu watatu kisa yupo mmoja wao anaekuelewa ijapokuw ipo lugha uwezayo kuongea na kila mtu akakuelewa hivyo basi lugha za hasili kwa Tanzania huzungumzwa katika mkusanyiko wa watu wanayoifahamu tu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Oh, samahani sana kukuita humu bila hata ya wewe kujua tulichokua tukibishania humu na Mwanzia1.Nirewaha mambo etidhe, yani kunde njira bwang'aa ...... Hehehe niko hapa ila mumenitoa nje maana nimedandia treni kwa mbele sijui mumetokea wapi na mambo ya lugha, ila lugha za Kitanganyika nilizokua nimejifunza zimenitoka kwa ajili ya kukosa mazoezi, maana hata wenyewe hawazijui wala kuziongea, ni wachache kule mikoani wanaziongea tena kwa uwoga uwoga wasiitwe washamba.
And you poverty worse in EAC and SADC.,Hapo ndio mnajidamganya eti GDP. While a price of unga, petrol, sugar is sky rocketing. Unemployment worse that any EAC countries, health care is for selected few, land, security, corruption all drugging the country to its knees in term of social inclusion. Halafu your talking about GDP, the GDP doesn't even trickle down to common mwananchi. Hebu tuambiane ukweli kama Kenya mna maisha mazuri kuliko Tanzania.
Oh, samahani sana kukuita humu bila hata ya wewe kujua tulichokua tukibishania humu na Mwanzia1.
Nilikuwa nikitaka kumdhibitishia tu ya kwamba haimanishi ya kwamba kama mtu anajua lugha fulani inayozungumzwa kwenye nchi fulani, eti basi yeye ni raia wa nchi hiyo.
Tulikuwa tukimzungumzia yule jamaa mbishi sana mwenye jina "Mkikuyu akili- timamu". Mara kadhaa hapa ameandika kikikuyu kwa ufasaha kabisa. Lakini hilo kwa kweli halimaanishi ya kwamba yeye ni mkenya. Yeye hushinda akiponda nchi hii kila kukicha hata pasipostahili. Kisingizio: ati kwasababu anachukia sana serikali ya Jubilee, eti ya kikabila.
Na wakenya wenyewe ambao ni wapinzani wa dhati wa serikali hii ya Jubilee hawashindi wakitukana na kudhalilisha nchi yao ya Kenya. Penye uzuri na mafanikio sote twaungana kufurahia na kupongeza. Sote twasahau differences zetu za kisiasa na hata za kikabila ili kutetea nchi yetu kutokana na vitusi visivyofaa kutoka kwa watu wa nje.
Hivi leo hapa Jf, utajuaje ni nani supporter wa Uhuru au Raila?
Ndio maana nikasema nasadiki huyu Mkikuyu akili------- ni mtanzania, na hata pengine ni account mbadala ya yule jamaa anayejulikana sana kwa kuchukia Kenya kwa dhati.
Technology kaka! desert countries are doing well than your big green country of which you will take ages to catch up., i.e. Israel, Saudi Arabia, Dubai., we are headed there and better., check what's up Kenya's sleeve., mtakija kitafuta kazi huku sooner than later, CCM can't redeem Tanzania from poverty, they have an archaic ideology.I've been in Kenya and and many other neighbouring countries, all I can say, Tanzanian youth have so much opportunity compared to their counterpart. Tanzania being a developing country, there so many areas which haven't been fully explicated. Tanzanian youth will have less to worry about creating jobs in the next 30-50 years compare to the youth of Kenya or Rwanda or Uganda. So when you hear those international body telling you that Kenya is ahead because of her GDP, ask them to tell you where will the future jobs or food or land come from.
with CCM's propagandist ideology, and dictatorial stance, you are headed nowhere, its wishful thinking. Observe you will see and experience, we are here to witness the downward spiral.Tanzania is doing great. The old years of Ujamaa are gone. The age of mining companies exploiting Tanzanian resources are gone. Corruption is down.
JPM is building a society bases on meritocracy..Every youth has an opportunity to as long as they have skills.
Unaongele nchi zilizo mfukoni mwa Marekani na Kenya ikiwa moja kati hizo nchi?. Ukiondoa pesa ya Marekani kwenye hizo nchini (Israel, Saudi Arabia Dubai etc) unabaki na nini kama sio nchi zenye mashaka na usalama wao?Technology kaka! desert countries are doing well than your big green country of which you will take ages to catch up., i.e. Israel, Saudi Arabia, Dubai., we are headed there and better., check what's up Kenya's sleeve., mtakija kitafuta kazi huku sooner than later, CCM can't redeem Tanzania from poverty, they have an archaic ideology.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hehehe nilikuelewa kaka, na ndio maana nikaanza kwa kukujibu kwa kilugha cha Tanzania.
Huyo anayejiita Mkikuyu nilishampiga block hivyo huwa sioni hoja zake, hiyo ni baada ya yeye kuja na mzuka wa matusi, siku zote watu wa matusi mimi huwatupia nje kw kubonyeza kitufe cha 'ignore', wanakua blocked, maana nikijibizana nao nitaishia kuwatusi na kupokea ban.
Huyo jamaa hana chembe chembe yoyote ya Ukenya, hilo nilimuumbua siku fulani nilileta taarifa za kuhusu kijana maskini Mkenya aliyejituma na kutengeneza mfumo wa kiteknolojia, huyo jamaa "Mkikuyu" alishukia kwenye hiyo mada kwa dharau na upondaji balaa. Nikajiuliza, jameni dogo maskini Mkenya ambaye anapambana kuangaza nyota yake ana uhusiano gani na tofauti zetu za kisiasa au chuki dhidi ya rais Uhuru.
Nilitegemea mtu yeyote mwenye damu ya Kikenya awe wa kwanza kupongeza huyo mtoto, na kumtakia mema mbele ya safari.
Nimewaambia watu humu, Ukenya sio kujua lugha, Ukenya sio kujua au kufahamu jiografia ya Kenya, Ukenya sio kujua tu tamaduni zetu, bali Ukenya ni kuwa nao ndani ya damu hadi kwenye mifupa na kujihisi Mkenya na kuipenda bendera yetu na wimbo wetu wa taifa.
Angalia kusanyiko la wanasiasa wa upinzani Kenya akina Raila na Kalonzo, yaani ukiwaona tu hata kama wa mlengo tofauti kisiasa lakini unaona Ukenya, watu wana upendo wa dhati na nchi yetu japo wanatofautiana na rais au utawala wa sasa. Wasklize hata kwenye mahojiano, wanapinga rais lakini ukiskliza hoja zao unaona uzalendo upo 100% ndani ya damu yao....huo hapo ndio Ukenya.
Viva Kenya
This is Not the Kenya that Jubilee wants to sell as kenya..You are free to block me, You are not the first or the last to do that. It doesnt bother me. Have a good dayWaona? Sasa hapo ungemuuliza ninini hapo cha kuponda angekwambia nini? Ati Kenyatta/Kikuyu/ Jubilee?
Haifai. Hata wengi wa hawa watanzania wenyewe wenye tabia ya kutusha chochote cha kikenya humu hawafikii kiwango hicho.
This is Not the Kenya that Jubilee wants to sell as kenya..You are free to block me, You are not the first or the last to do that. It doesnt bother me. Have a good day
View attachment 853436
View attachment 853437
This is Not the Kenya that Jubilee wants to sell as kenya..You are free to block me, You are not the first or the last to do that. It doesnt bother me. Have a good day
View attachment 853436
View attachment 853437
This is Not the Kenya that Jubilee wants to sell as kenya..You are free to block me, You are not the first or the last to do that. It doesnt bother me. Have a good day
View attachment 853436
View attachment 853437
Boss There is NOTHING Good about Jubilee Nothing, Its a criminal regime that needs to be uprooted. Its a parasite that is killing kenya.No, I wont block u. You are entitled to your opinion, as long as you do not insult me personally.....(I hope u understand that that 'Kikuyu akili- tahira" was all in good jest, not intended to insult). As a matter of fact, I do not remember ever blocking/ignoring sumbody in any social site or phone. So even if u insult me here.....
I told u this before, your claims of being Kenyan are doubtful. You say that u love the country but the govt.
But u consistently insult, abase everything Kenya even when it is completely uncalled for; ie in the case MK254 described above. We'd rather you just admit that u are a non- Kenyan, a Tanzanian. For how long will u go on with this infantile charade?
There are many Kenyans, roughly half the population, who dislike this govt, some with with passion. Were u on Jf during those heady days in the run up to the general elections, and after?
The political and ethnic balkanization was evident even right here. The Kenyans here took on to each other, forgeting their daily brickbats with the Tanzanians for a while, at least.
And it is those very Kenyans now presenting a united front to fend off any unfair characterization of their country and its people by foreigners, such as u and these other Tanzanians.
There is nothing wrong with criticizing the govt. We are entitled with that right. Even the yours truly here does it all the time.
Mbona unajifanya kutoelewa? I said it is fine to hate the govt. Not many Kenyans like this govt anyway.Boss There is NOTHING Good about Jubilee Nothing, Its a criminal regime that needs to be uprooted. Its a parasite that is killing kenya.
I am kenyan but its your choice to believe otherwise, what do you want me to do? Publish My National ID in JF to please a few anonymous people? Nope forget it..Believe what you want..it does not bother me
What I critisize is my own choice, you are not a Mod At JF..You cant purport to control whom or what I engage in. Neither can I do anything similar..Mbona unajifanya kutoelewa? I said it is fine to hate the govt. Not many Kenyans like this govt anyway.
But criticizing everything Kenyan, even where the govt isnt involved, or unnecessary to criticize.