Documentary kali kinyama only that kwenye kupeana majina ndio sijaelewa kwa mfano kama mtu anaitwa
MziziMkavu hivi jina lake itabidi tukiongea kwa kiingereza tulibadilishe au libaki vile vile? Yaani Dried Root mmmhhh au
zumbemkuu tumuite The BigLord? Au Tanganyika tuite Inlnad wailer?? Nadhani Filamu ibaki kuwa Uwanja wa Fisi