Hv Madalalu wanalipa kodi?

aminiusiamini

JF-Expert Member
Aug 25, 2011
3,577
2,221
Hakuna watu wanaishi kwa kuunga unga kama madalali.
Wao ndio wapiga dili wa hapa mjini. Kwanza wengi wao hawana hata elimu,huku wakitaka maisha ya mkato na maisha ya juu.
wao ndio wanafanya bei za vitu kutoshikika hapa mjini.
Ukitaka kuuza kuku,gari,nyumba nk kwa tamaduni zetu wa wabongo lazima tutafute dalali. kwani wao ni nani?
Ushauri wangu kwa serikali ni kuwa hawa watu nao walipe kodi tuachane na ujanja ujanja na dhuluma inayokithiri.
Sio lazima kununua shamba kupitia dalali wakati mwenye shamba au kiwanja anaweza kuuuza vizuri tu.
Pia naawaasa sana watz wenzangu tutumie technology katika kununua na kuuza vitu.Middle men ndio wanaua uchumi wetu.

Serikai pia naomba waangalie hili suala kwenye mazao ya kibishara. Hawa madalali wanaua wakulima.

pili,walipe kodi kutokana na mapato yao.
 
Watu wa kati wako kila mahali...ndomana Kuna madalali wa nyumba,madalali wa mahakama,wanunuzi wa madini toka nje waliyopo ta wote ni madalali tu,hyo bombardier dalali alikuwepo kati etc

Ova

Back
Top Bottom