Mwendee kwa mganga
MziziMkavu wa Jamii Forums, ana dawa za kienyeji za kuongeza mvuto wa mapenzi na za kusafisha nyota
Mkuu
Nazjaz Mkuu karibu asilimia 99 ya Wa
Tanzania haswa Vijana hawajuwi kutongoza Mwanamke wanatumia sana Wanaume wa KiTanzania Kutongoza Mwanamke
kwa pesa, wanawake wengine hawataki kutongozwa kwa njia ya pesa wanataka utumie mdomo wako
kuwatongoza. Wanaume wa KiTanzania midomo yao mizito kutongoza Wanawake. Na Hakuna shule ya Kujifunza
kutongoza hapo kwetu Tanzania.Mkuu
Nazjaz mwambie mkuu
yahya jumbe akienda kuonana nae huyo
Mwanamke kimazungumzo awe nayo mfukoni mwake chuımvi kidogo aweke kwenye mfuko wake aifunge hiyo chumvi kama anavyofunga
Binzari kisha awe nayo mfukoni aanze kuzungumza na huyo mwanamke kwa nguvu ya chumvi mwanamke
ataweza kuregea kimapenzi na kumkubalia huyo mkuu yahya jumbe kisha aje hapa kutupa Feedback. Hiyo ni first idea.
Last edited by a moderator: