Yani hivi unavyosubiria ushauri ndivyo unavyozidi kupoteza muda...tuliza moyo then muelekeze ukweli! acha wasi wasi mwisho wa siku wajanja wachukue uanze kulalamika

Mkuu nakushauri umpende anayekupenda,vinginevyo utaiona dunia chungu.Na mbaya zaidi utaona sisi wenzio tunaishi kwa furaha katiki muda tutakaokuwa duniani!