Huyu yuko hai au....!?

Hapo saudari akimwaona tu mbio za hapo!utafikiri kaambiwa maba anaweza kumla hata nchi kavu,dahhh bora yangu mi sio mwoga si eti taamu?eti Tetra kwani ni uwongo?hata NIGGA anajua nilivyo jasiri, si eti?
 
Duh! Huyo akikupata anakumeza kiulaini hata meno yake hayakugusi!
 
Hapo saudari akimwaona tu mbio za hapo!utafikiri kaambiwa maba anaweza kumla hata nchi kavu,dahhh bora yangu mi sio mwoga si eti taamu?eti Tetra kwani ni uwongo?hata NIGGA anajua nilivyo jasiri, si eti?

::
Blue G
Huyo kwisha habari yake,,una utani na saudari? Ngoja akuandalie camera utaona ujuzi wake
Ha ha mi simo!!
=
 
Last edited by a moderator:
Blue G we mbona jasiri lol
Haaaaaaaaaahaaaaaaaaaahaaaaaaaaa i knew you would speak the truth na ndo maana nikakuita makusudi ukuje pande hizi uniteteeee maanake saudari so kuniponda huko anasema eti mi ni mwoga.
 
Last edited by a moderator:
Hebu weka mkono wako hapo mdomoni kwake utajua kama yupo hai au kafa
 
Haaaaaaaaaahaaaaaaaaaahaaaaaaaaa i knew you would speak the truth na ndo maana nikakuita makusudi ukuje pande hizi uniteteeee maanake saudari so kuniponda huko anasema eti mi ni mwoga.

Yes we ni mwoga,we ni mwoga wa kutembea kwa mguu hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…