Huyu Video Queen nampataje?

Namfaham sana ni rafiki angu ila kama unampango wa kumla tuu hutofanikiwa coz sio kicheche ni mtu wa kazi na pia hapend shobo
 
Kama unamfahamu MONI wa centrozone yule mwenye nyimbo kama Sembe dona, kirikou, na Usimsahau mchizi ft Roma... Huyo ndio JAMAA yake asee anamkamatia na shoo anasimamia hapo.... Huyo duu amesha appear kwenye video kama vile Muziki ya darasa..Mazoea ya bill nenga bill nass na hiyo ya jamaa yake Usimsahau mchizi...


Kuwa makini bro, mjini hapa..ukiona vyaelea ujue vimeundwa
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…