Kamgomoli
JF-Expert Member
- May 3, 2018
- 1,865
- 3,802
Namshuhudia Tshishimbi akicheza kiwango cha ajabu kabsa. Kipindi kizima cha kwanza hajapiga complete pass 10.
Pasi zote anawapa Prison au anapiga nje. Hili ni tatizo ambalo linazidi kukomaa na sjui mazoezini kocha huwa anamuambia nini.
Kawafanya Prison wamiliki eneo lote la katikati na kuishambulia Yanga mara nyingi zaidi. Aspobadilika ataighalimu timu leo.
Sent using Jamii Forums mobile app