Huyu Shem simuelewi aisee...

Bad ass boy fucking all the beautiful ladies around you including their best friends hahahahaha lol! Umenikumbusha site moja huwa napenda kuitembelea. Jamaa aliuliza warembo kama wangeweza kuwa wanaume kwa wiki tu ni kitu kipi wangependa kukifanya ndani ya hiyo wiki moja. Kwa mshangao wangu wengi walidai wangependa ku***mba wanawake wengi kadri watakavyoweza😑😑😑

Kabisa yaani ningekuwa bad ass.
 
Yaani ungekuwa mwanangu ningekupiga shaba kabisa unaletewa chakula then unasusa khaaaaa
 
hv humu JF wote wana maisha ya kizungu eeeh... mbona kila post mtu lazima awe na gari na nyumba... lazima awe na maisha flani amazing..... kwahiyo peke yangu choka mbaya... πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
we mpakue acha ujinga
 
Kabisaaaaaaaa. Niseme tu ukweli.
 
Reactions: BAK
hv humu JF wote wana maisha ya kizungu eeeh... mbona kila post mtu lazima awe na gari na nyumba... lazima awe na maisha flani amazing..... kwahiyo peke yangu choka mbaya... πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Heeh..mkuu mbona hakuna nilipoainisha kuwa Nina nyumba wala gari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…