Huyu roomate vipi?

Inategemea urafiki wenu na uyo jamaa ukoje,kama ni mtu mliekutana nae chumbani kama roommate halafu ndo mkawa marafiki hapo kuna namna na uko sahihi kabisa kuanza kuhofia...ila kama ni rafiki ambaye mmejuana kitambo may be tangu sekondar au homeboy wala usihofie,mwambie laivu tu kuwa shemeji yake hapendezwi sana na tabia yake.
 

Mchane live jomba,aache kuzingua
 
Kuchapiwa siri ya ndani. Tehe.
Mueleze ukweli akizingua tembeza kibano. Lol
 
wewe ni mbinafsi, mchoyo, unawivu kama m/mke, humwamini gf wako, not interactive.

unadhani jamaa anaweza kukuibia gf wako. suluhu, msiwe mnakutana room muonane nje or else somewhere
 
Jamaa si huwa mnamsifia kuwa ni mcheshi sana sasa ndo anaonyesha ucheshi wake,sasa nn tatizo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…