Night shadow
JF-Expert Member
- Jun 11, 2015
- 582
- 1,111
Wasalaam JF,
Hapa nilipo kuna rafiki yangu ambaye tulifahamiana kazini baada ya kuwa tunafanya kazi company moja, japo ye alifukuzwa na sasa anafanya kazi pengine.
Uzuri tunaishi jirani, sasa jana kanifata akanambia kuna mdada kakutana nae maeneo ya kazini kwao ananisalimia sana, kwa jinsi alivonieleza nikawa nimemfahamu huyo mdada.... Nikamwambia nilikuwa namtafuta huyo mdada kwa muda mrefu sana maana nilishamzimia kitambo, jamaa akaahidi kunipeleka maana anajua anapoishi.
Leo mida ya saa 4 nikachomoka ofisini nikaenda hadi jamaa anapofanyia kazi, baada ya story akanipeleka kwao na huyo dada akaniitia kisha ye akarudi ofisini... Basi nikaongea na mdada akanambia atakuja home leo, kweli amekuja.
Sasa ile tumeanza kupiga story, jamaa katokeza alafu kaanza maneno ya shombo anadai kwanini anipeleke alafu mi nimchukue demu kuja nae kwangu..... NIMUELEWEJE HUYU JAMAA?