Huyu nitamwita shemeji!!!!!!!!!!!!!!!!

Mzee wetu

Member
Joined
Jul 31, 2011
Posts
6
Reaction score
2
Jamaa wawili mafariki sana walikuwa na tabia ya kuchangia wanawake, mmoja akishampata anamtaarifu mwezie yule pale tayari na mwezie anatia jitihada mpaka anampata na haya ndio yakawa maisha yao.
Mwisho wa siku mmoja wapo kanogewa kati ya wale wanawake waliokuwa wakiwachangia kimapenzi. Je huyu wa pili atamtambua yule kama shemeji yake kweli?
 
Kwakuwa sio utamaduni wala sio maadili hawa hawawezi pewa nafasi ktk kamusi yetu ya kiswahili, labda kwa akina Obama!!

 
Hizo ni presha zenu tu mbona mbunye haina makombo! wanaendelea kuwa mashemeji kwani ubaya uko wapi? shida wakiendelea na mchakato ndio inakuwa soo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…