Abdillahjr
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 694
- 321
Nihakikishie kwanza kama wewe si Al-shabaab afu ntakueleza, maana usijekua na mpango wa kumlipua bure!
Pilu umenichekesha! kwani umemwonaje?Nihakikishie kwanza kama wewe si Al-shabaab afu ntakueleza, maana usijekua na mpango wa kumlipua bure!
Ninamjua utanihakikishia vipi wewe sio Boko haram , Usijemdhuru!
kuna suala tulikuwa tunabishana kuhusu meremeta,jamaa wanasema anahusika pia na anakudugu na yule jamaa wa mawasiliano wa magogoni! Kaka u-boko kharamu hamna bwana!!
okey ntaku-pm