Huyu ni nani ?

Et vmoney rapa hahaahha lo watu mna matani
 
Na wezi wamekuwa wakiwatumia sana kuwaibia watu hela,nao hawachukui hatua
 


Sister Hapo kwenye BLACK umekosea sana kutamka hayo maneno, hata wao wakiona ulichokiandika watapata masikitiko sana. Na wenyewe ni bidaadamu kama sisi na ndiyo Mungu amewaumba ivyo na siyo wao wametaka wawe ivo.ni hayo my sister kama nitakua nimekosea nisamehe
 
Sawaa mi nilikuwa sijuiii
 
Haswa mkuu
 
Dinazarde Mimi huwa nawapenda sana watu wanamna hiyo,
huwa naamini kwamba wana kitu flani special tofauti nasisi na huwa nawachunguza ili nigundue hasa.. Wacha nimsake
 
Jamani sijacheka kosa langu ni kutojua ,,,haki tena nilijua sio mtu mpaka nimechunguza ,nisameheee mim ni mgumba sizai
duuh! wewe noma,
ulivyo ukwepa mshale wa wakuzaa ata jet lee awezi kukwepa kama wewe!
 
duuh! wewe noma,
ulivyo ukwepa mshale wa wakuzaa ata jet lee awezi kukwepa kama wewe!
Hahahahahahahaha maana ananitisha kuzaaa kuzaa mimi sizaii mayai nishayalia chipsi
 
Progeria ni ugonjwa kunakuwa na hitilafu katika genes (mutations)
Kibaya zaidi hauna dawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…