Huyu ni nani? Msaada tafadhali

Huyo ni binti maulana. Mwanamama msomi anaijua vema saikolojia.

She was a teenager in 1980s

Zamani jamvin alikuwa na avatar picha kama iyo ya huyo mwanamama ila kwa nyuma alisimama mwanaume flani hivi. Akaibadilisha 2017 akaiweka hii


Natamani sana kumfaham FaizaFoxy .Aje atuambie huyo ni nani kwenye avatar picha?
 
Ni mtu mzuri tu....ni vile tu wewe utavyomtumia
Ni mwanamke ambaye kichwani yuko vema. Ukiingia kichwa kichwa kwenye mijadala yake anaweza kukuwin kisaikolojia hadi ukachanganyikiwa. Anaijua vema saikolojia.

Na uhakika ana kitabu cha kadana (Canadian passport). Na ni mkazi wa jimbo la Alberta mji wa Edmonton ama Calgary. Kwasababu kipindi cha nyuma jamvin alikuwa akijisahauna kuchomekea personal life. Vijana wa mjini tukawa tuna analyse tu.
 
Hapana huyo Yuko dar..Kama Canada labda ile ya ushirombo
 
Kiukweli nimetokea kumpenda

Sent from my Pixel 5 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…