Huyu ni mwanaume mkweli!!!!

Huyu ni mwanaume mkweli!!!!

rehehizy

Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
6
Reaction score
1
mimi ni binti wa miaka 23 ninasoma chuo kiukweli kuna mvulana ambaye nilikuwa na mahusiano naye tangu mwaka 2007 kwenye mahusiano yetu hatukuwahi kufanya mapenzi ata siku moja hata hivyo alikuwa akiniambia tufanye ila mimi nilikuwa namzungusha nikimwambia anisubiri ila kiukweli alinivumilia na mimi niya ilikuwa kutokufanya naye mapenzi mpaka anioe ila kwasasa mwenzangu ananilazimisha sana kufanya naye wakati tulishaongea tangu hapo awali kabla ya kufanya mapenzi tupime ukimwi kwanza ndo tutafanya mapenzi lakini mwenzangu anasema hawezi kufanya katika maisha yake hilo suala la kupima kwani halina maana kwake na yeye haonyeshi suala lolote la kutaka labda kunioa.
Je huyu mwanaume ana nia gani na mimi????
 
mbona hilo liko wazi jamani, hana nia ya kuoa na ukimwi hapimi unategemea nini... chapa lapaaaaaaaaaa
 
Ukimwi unaua..epuka matapeli wa mapenzi. Dunia ya leo hakuna mapenzi bila vipimo.angalia usije ukafa na elimu yako hujaifaidi hata chembe.
 
Sasa tukupe ushauri gani? Haya basi ngoja nikushauri. Usikubali kufanya nae mapenzi mpaka apime.
 
mimi ni binti wa miaka 23 ninasoma chuo kiukweli kuna mvulana ambaye nilikuwa na mahusiano naye tangu mwaka 2007 kwenye mahusiano yetu hatukuwahi kufanya mapenzi ata siku moja hata hivyo alikuwa akiniambia tufanye ila mimi nilikuwa namzungusha nikimwambia anisubiri ila kiukweli alinivumilia na mimi niya ilikuwa kutokufanya naye mapenzi mpaka anioe ila kwasasa mwenzangu ananilazimisha sana kufanya naye wakati tulishaongea tangu hapo awali kabla ya kufanya mapenzi tupime ukimwi kwanza ndo tutafanya mapenzi lakini mwenzangu anasema hawezi kufanya katika maisha yake hilo suala la kupima kwani halina maana kwake na yeye haonyeshi suala lolote la kutaka labda kunioa.
Je huyu mwanaume ana nia gani na mimi????

Run for ur life ts a free advice!!
 
Pima upepo ukiona pepo za kusi bado zinavuma basi fanya mamuzi sahihi.
UKIMWI upo bado. Usidanganyike na homa ya mafua ya nguruwe.
 
Na wewe nawe!
Kum'bania mwenzio zaidi ya miaka sita ndio nini sasa?
Ningekubaliana na wewe if uko bik.ra!
Kinyume na hapo haya mawingu umetengeneza mwenyewe, usiogope mvua na radi!
Huyo b.frnd wako keshashauriwa na frnd zake, asipokuramba yeye ni bo.ya!
M'banie hivyo hivyo! Hakuna mapenz tena! Apo ni KISASI KWA KWENDA MBELE!!!!
Pole tu!
 
mimi ni binti wa miaka 23 ninasoma chuo kiukweli kuna mvulana ambaye nilikuwa na mahusiano naye tangu mwaka 2007 kwenye mahusiano yetu hatukuwahi kufanya mapenzi ata siku moja hata hivyo alikuwa akiniambia tufanye ila mimi nilikuwa namzungusha nikimwambia anisubiri ila kiukweli alinivumilia na mimi niya ilikuwa kutokufanya naye mapenzi mpaka anioe ila kwasasa mwenzangu ananilazimisha sana kufanya naye wakati tulishaongea tangu hapo awali kabla ya kufanya mapenzi tupime ukimwi kwanza ndo tutafanya mapenzi lakini mwenzangu anasema hawezi kufanya katika maisha yake hilo suala la kupima kwani halina maana kwake na yeye haonyeshi suala lolote la kutaka labda kunioa.
Je huyu mwanaume ana nia gani na mimi????

Jiulize, ana sababu gani ya kuogopa kupima UKIMWI kama kweli anakupenda kwa dhati na yeye pia anaipenda afya yake? Kuna kitu hapa. Fungua akili, usikubali kuingia kwenye shimo kizembe hivyo. Hataki kupima, achape lapa!
 
Dunia ya sasa si ya kumuamin mtu kirahisi rahisi, no kupima no ndoa no kufanya mapenzi kuwa na msimamo dada!!!!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
DADA pia ukumbuke kua "kufanya mapenzi nje ya ndoa ni kuzini. na kwamba; ukizini mwili wako unakua unholy."

na kwamba kuzini kutashababisha wewe kupoteza HOLY SPIRIT IN YOUR BODY.

Na kwamba wakati ukiwa unazini, your body becomes unlocked and hence satan i freely to enter into you.

na kwamba kwasabubu kufanya mapenzi huwaunganisha na kua mwili mmoja, then WAFANYAO MAPENZI NJE YA NDOA HUISHIA KU-SHARE EVIL SPIRITS(MAPEPO).

NA KWAMBA ASIYE NA ROHO MTAKATIFU BASI HANA UTAWALA WA MUNGU. NA KWA MAANA HIYO BASI, MWENYE MAPEPO (DEMONS) HUA NA DEVIL'S KINGDOM.

DADA HUYO MTU HAKUFAI KWA MAANA ANATAKA AKUTUPIE MASHETANI(EVIL SPIRITS). HUYO MTU NI HATARI ZAIDI YA HIV. SASA MFIKISHIE PIA HII KNOWLEDGE. ILI ASIJE AKAJIKUTA ANAMSAIDIA SHETANI KU-EXPAND UTAWALA WAKE. NA KAMA ANAMAPEPO, BASI HAYO MAPEPO YAISHIE KWAKE MWENYE NA SIO KWAKO. STAY SAFE.
 
Mahusiano ni makubaliano ya watu wawili

Kama unaona amekiuka makubaliano hili ni suala la wewe either kukubaliana nae au ukatae kukubaliana nae,hata tukikupa ushauri wowote ule bado maamuzi ni yako

Hapa jiulize ni kwanini usubiri hadi ndoa?
Kwanini msipime sasahivi?
Kwanini anakataa kupima?
Kupima kuna faida gani nawewe?
Je mkishapima ndo mtakuwa waaminifu?
Baada ya kupima tutakuwa na msimamo kiasi gani?
Kusubiri hadi ndoa kuna maana gani?
Mtu akisubiri hadi ndoa ndio anakuwa muaminifu?

Pia kuna mambo ya kujiuliza kuhusu future yenu usiangalie tu kwenye ngono
Je,ana hadhi ya kuwa baba?
Je anajua ni kwanini anakuoa?
Je anajua umuhimu wa mwanamke?
Je anajua maana ya ndoa?
Je anajua uzito wa kuwa baba?

Mambo ya kujiuliza ni mengi sana cha msingi ni wewe tu kuchukua muda wa kujiuliza kama unaijua ndoa na masuala mazima yanayohusu familia!!!!!
 
Eiyer ushamaliza kila kitu nadhan tuhamie kwa thread nyingine coz ushauri wako baab kubwa,wahuni wanasema funiko bovu,like it
 
dada dume/salama czpo msaidie bwana kjna mwenzako au znakuwasha kama mnavyosemaga
 
mimi ni binti wa miaka 23 ninasoma chuo kiukweli kuna mvulana ambaye nilikuwa na mahusiano naye tangu mwaka 2007 kwenye mahusiano yetu hatukuwahi kufanya mapenzi ata siku moja hata hivyo alikuwa akiniambia tufanye ila mimi nilikuwa namzungusha nikimwambia anisubiri ila kiukweli alinivumilia na mimi niya ilikuwa kutokufanya naye mapenzi mpaka anioe ila kwasasa mwenzangu ananilazimisha sana kufanya naye wakati tulishaongea tangu hapo awali kabla ya kufanya mapenzi tupime ukimwi kwanza ndo tutafanya mapenzi lakini mwenzangu anasema hawezi kufanya katika maisha yake hilo suala la kupima kwani halina maana kwake na yeye haonyeshi suala lolote la kutaka labda kunioa.
Je huyu mwanaume ana nia gani na mimi????

Sasa tukupe ushauri gani? Haya basi ngoja nikushauri. Usikubali kufanya nae mapenzi mpaka apime.

sasa wewe bhinti, ukweli wa huyu mwanaume uko wapi? hebu fuata shauri za wakubwa hapo juu, kabla sijakupeleka jukwaa la siasa tukujadili!
 
Mahusiano ni makubaliano ya watu wawili

Kama unaona amekiuka makubaliano hili ni suala la wewe either kukubaliana nae au ukatae kukubaliana nae,hata tukikupa ushauri wowote ule bado maamuzi ni yako

Hapa jiulize ni kwanini usubiri hadi ndoa?
Kwanini msipime sasahivi?
Kwanini anakataa kupima?
Kupima kuna faida gani nawewe?
Je mkishapima ndo mtakuwa waaminifu?
Baada ya kupima tutakuwa na msimamo kiasi gani?
Kusubiri hadi ndoa kuna maana gani?
Mtu akisubiri hadi ndoa ndio anakuwa muaminifu?

Pia kuna mambo ya kujiuliza kuhusu future yenu usiangalie tu kwenye ngono
Je,ana hadhi ya kuwa baba?
Je anajua ni kwanini anakuoa?
Je anajua umuhimu wa mwanamke?
Je anajua maana ya ndoa?
Je anajua uzito wa kuwa baba?

Mambo ya kujiuliza ni mengi sana cha msingi ni wewe tu kuchukua muda wa kujiuliza kama unaijua ndoa na masuala mazima yanayohusu familia!!!!!

such a beautiful advice!!! hivi mkuu Eiyer, naomba nikuulize kidogo, hivi wakati unatoa huu ushauri ulikuwa kwenye mood gani???
 
Mpe mwenzio aonje ,utamuuziaje mbuzi kwenye gunia?kama ya kwako ni oversize ata estimate vipi bila kulamba?sema ndo mkapime tu

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
mimi ni binti wa miaka 23 ninasoma chuo kiukweli kuna mvulana ambaye nilikuwa na mahusiano naye tangu mwaka 2007 kwenye mahusiano yetu hatukuwahi kufanya mapenzi ata siku moja hata hivyo alikuwa akiniambia tufanye ila mimi nilikuwa namzungusha nikimwambia anisubiri ila kiukweli alinivumilia na mimi niya ilikuwa kutokufanya naye mapenzi mpaka anioe ila kwasasa mwenzangu ananilazimisha sana kufanya naye wakati tulishaongea tangu hapo awali kabla ya kufanya mapenzi tupime ukimwi kwanza ndo tutafanya mapenzi lakini mwenzangu anasema hawezi kufanya katika maisha yake hilo suala la kupima kwani halina maana kwake na yeye haonyeshi suala lolote la kutaka labda kunioa.
Je huyu mwanaume ana nia gani na mimi????
Mkataa pema pabaya panamuita..... Utakuja kumkumbuka sana..... kwani wewe umempa mtiahni wa muda mrefu na ameweza then na yeye kakupa wake unashindwa... acha ukorofi na inaelekea na vyake umekuloa sana... hii ni Tabia ya wasichana wengi wasiowapenda wanaume ndio huwafanyia hivyo....

Mimi kwangu kama unataka mapenzi ya hivyo with no sex basi no Huduma hata jero... tutaenda sawa hata miaka mia... yaani kwangu nipe nikupe....

Umempotezea sana Muda wake na hii nawashauri Wanaume wengine wakiona wanayayushwa wasepe... Yaani Demu anakuyayusha hadi unafikia mahala unaenda Tafuta Changu... ni mara Nyingi hii Wanawake wa Namna yako Ndoa zao huwa Hazidumu kwa kuwanyima Unyumba wanaume zao..... Dada sikia Nyuchi zipo nyingi mno ila mtu anaamua awe na Mwanamke mwenye Heshima zake tu.... Na Tatizo la mademu wa aina yako mwisho wa siku mnakuja kumpa penzi mtu mwingine..... Tena kiurahisiiiiiiii
 
mabintiii...
Tabia zenu ndo zimetufanya tuwe na akili...
 
Na wewe nawe!
Kum'bania mwenzio zaidi ya miaka sita ndio nini sasa?
Ningekubaliana na wewe if uko bik.ra!
Kinyume na hapo haya mawingu umetengeneza mwenyewe, usiogope mvua na radi!
Huyo b.frnd wako keshashauriwa na frnd zake, asipokuramba yeye ni bo.ya!
M'banie hivyo hivyo! Hakuna mapenz tena! Apo ni KISASI KWA KWENDA MBELE!!!!
Pole tu!
kiukwel sijawahi kufanya mapenzi ata siku 1 na yeye analijua hilo na siyo kwamba nilikuwa nambania tatizo ata kwa mda huu naweza fanya naye ila kupima ataki kabisa.
 
Back
Top Bottom