kunguni wa ulaya
JF-Expert Member
- Mar 16, 2014
- 4,131
- 6,143
Hujui kuwa leo tarehe 24 na yeye analenga nini?Habari za usiku.
Juzi lati bwana nilitongoza binti flani hivi. akakataa, kumbe alikuwa Ana bipu. Sasa nami nkamkatia tu mazima na kupotezea
Jana tena kajileta eti OOHH nilikuwa nakutest, Mara oooh nisameh nakupenda,, Mara oooh nataka hivi
Sasa jamani huyu ni mtu wa aina gani? Apigwe au aachwe
Nasubiri majibu nifanye maamuzi