Huyu ndo mwanafunzi wa chuo kikuu ..aliye uwawa kikatili na mumewe kisha mwili wake kuuficha stoo...

ALLAH amuhifadhi hamida,ila kinachokuja kunishangaza ni kuwa jamaa hatauawa ila atafungwa maisha,ajabu saana
Mtu akiua naye auwawe tena hadharan ili iwe fundisho,tena mnaingia gharama za kumhudumia maisha yote muuaji?

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Siamini kama kweli alikuwa mwanafunzi. Ila ukisoma magazeti ya Shigongo inaonyesha ni wivu wa mapenzi na hali yao ilikuwa duni. Issue ya Yahaya kuwa mzinzi na mlevi pengine ilitokea kwa kuwa na wivu na mtoto mbichi Hamida. Inaonekana Yahaya alitaka Marehemu akakataa! Inabidi sisi akinababa tuache kulazimisha, akikataa mwache tu huo ni mwili wake. RIP Hamida
 

Kwa hiyo unataka kusemaje aseeee????!!!!
 
Kwa hiyo unataka kusemaje aseeee????!!!!
Nataka kusema kuwa mleta mada ameongeza issue ya kuwa mwanafunzi chuo kikuu maana akina shigongo walisema alimaliza form four. Pia kuna wakati wanaume wanasingiziwa sana, mara nyingi tabia za kutoka nje ya ndoa zinasababishwa na wake (kwa nyie mliooa) kujituma kabla ya ndoa na kujisahau baada ya ndoa. Kutokana na utandawazi, mwanaume akinyimwa mawazo yake yanamtuma kuwa anawapa wengine pengine anaochat nao au anaofanya kazi nao. Hili ni tatizo kwani ukimuona mwanaume mlevi jua kuna mateso nyumbani kwake. Siamini kama mtu hampendi mwanamke anaweza kulazimisha penzi na hata kufikia kuua. Jua huyu mama aliolewa akiwa bado mwanafunzi. Endelea
 

Watu wanasema alichokifanya Yahaya ni tukose wote. Ikiwa na maana kwamba baada ya mtafaruku wa muda mrefu kwenye ndoa Yahaya alihisi labda mkewe amepata mme mwingine, kwa hiyo alichokifanya ni kumwambia Hamida aende wagawane vitu vyao, kisha akamnyonga.
 
Thanks, akinyanyua mkono tu, natimka kuja kwako.

Inasikitisha kuona bado kuna wanamme wanapiga wanawake, au ni wagonjwa vichwani?

 
Duh mbona hatari sana, poleni wafiwa, pole sana Tayana kwa kumpoteza mama.
 
Yahaya kwani Anaishi wapi? Kikwete naomba urudishe sheria ya kunyonga watu walikutwa na hatia kama hizi. Bora kuishi ilaq,ilani,saudi alabia,kesi kama hiz kwao ni hukumu ya kifo
 
Duh mbona hatari sana, poleni wafiwa, pole sana Tayana kwa kumpoteza mama.
 
Alafu kwa hali hii kuna wanaosema hukumu ya kifo ifutwe!! Inatakiwa tena iongezewe maumivu, isiwe kunyongwa bali kuchinjwa na panga butu.
 
Naamini haya masimulizi hayajacover hata robo ya hali halisi waliyopitia couple hiyo.

Ndoa zina mengi jamani.
Tutasema mengi sana, lakini huyu dada ilikuwa tu afe kifo hicho, hata kama angechelewa bado there was some horrifying death story in store, waiting for her!
Najiuliza, ninini jamaa alichokuwa anakosa kwa huyo mdada mzuri hivo?

Siri sirini!
 
Thanks, akinyanyua mkono tu, natimka kuja kwako.

Inasikitisha kuona bado kuna wanamme wanapiga wanawake, au ni wagonjwa vichwani?

Uje mbio kwa haraka ila ujiridhishe kuwa hujafanya upumbavu huko...lakini kwa vitisho na vipigo njoo anytime!!!!!!

Muumba atuongoze njia salama kawa kweli maaana mengine ni utata na majaribu makubwa sana kwa imani na busara!!!!!!
 

Yaweza kuwa ni mapema mno kwa taarifa hii kufanya hitimisho la tukio!!!
 
Mimi nawaamuru Polisi waache tabia za "Waganga wa Kienyeji" kuagua kwamba hao wameamua kukumbushiana. Inapotokea mtu ameenda kutoa taarifa Polisi hawa maafande wasiwe watu wa kutoa hisia mbadala kurahisha mambo. Wafanya kazi yao in the professional manner. Polisi acheni kufanya mambo kama hamjasomea fani hiyo ya upolisi, maana wange-act mapema Yahaya angeweza kukamatwa mapema, sasa mmebaki kuagua hadi Yahaya akapata muda mwingi katoroka. Shame on you Police, mnajifanya mnafanya kazi kwa weledi, weledi huo uko wapi!!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…