Unamfahamu rais wa Botswana? Botswana ni nchi hii ilioko Kusini mwa Afrika, haina bandari na ina idadi ya watu zaidi ya milioni mbili unusu. Zaidi nchi ndiyo inazalisha almasi kwa wingi barani Afrika ikiwa na karati milioni 25 kwa mwaka. Rais wa taifa hilo ni Duma Boko ambaye aliingia madarakani baada ya uchaguzi wa 2024.