Huyu ndiye Mkush Original

Mwalimu kashasha hio kitaalamu tunaita,
STIMU ZIMELIPIWA
Hapo ni kifuatacho ni kuichoma moto kama nyungu na unajifukiza kabisa

Swaaaaafiiii unaukua umefika heaven kwenye kikao Cha Shetani na sir God
Wakijadili ongezeko la Kodi kwenye miamala ya
Mwiguluiza Nchembazimana of Burundi!

Nadanganya wadau?
 
Hahahah mkuu utakua umekula dry wewe sio mixer
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…