bampami
JF-Expert Member
- Nov 5, 2011
- 5,700
- 4,126
Blue Monday!
Katika nukushi yake ya Facebook, Mchungaji Peter Msigwa ameandika haya;
"Hatutaacha wala kuogopa kutenda na kusema mambo sahihi eti kwa sababu kuna watu watatupinga kwa wao kutenda na kusema mambo yasio sahihi! Tu kwa sababu eti mtu ana uwezo au akili ya kukuelekeza, maelekezo yake yanaweza yakawa sio sahihi!
KUMBUKA MTU ANAWEZA KUFANYA JAMBO LISILOSAHIHI KWA USAHIHI"
Sehemu pekee niliyoipenda ni hii;
"Kumbuka mtu anaweza kufanya jambo lisilosahihi kwa usahihi"