adabu kitu cha bureee kama una kazi ya kufanya basi nenda kalale hivi kweli akili za mtu mzima zinaweza kufanya kitu kama hiki just nenda kanywe kikombe
acha utani ni mkombozi wetu waa africa huyo au unasubiri hao waje tz ndio uamini kuwa wanatunyonya mafisadi wanatuzingua hapa nawe waleta zako
REspect and not jok
Conquest-ukubwa dawa na mawazo :juggle: