Huyu ndiye Aden Rage

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
123,265
Reaction score
98,318
Wana jamvi huyu mwenyekiti wa klabu ya simba sports mimi nashindwa kumuelewa, juzi amepeleka rufaa Tff kupinga yanga wasimchezeshe Okwi hata kabla ya mechi wakati anaelewa kuwa aliye toa idhini kwa Okwi ni baba wa soka duniani FIFA.Nauliza hivi huu ndio uongozi bora wa soka au ni fitina na majungu? Tuchangie
 

Attachments

  • 1393310208459.jpg
    28.8 KB · Views: 531
Huyu jamaa sijui kawaowa wana simba wote!!!...aaaaaaaaaaargh!
 

Acha wafu wazike wafu wao.
 
Mzee wa fitna!!sasa hivi kaanzisha mradi wa kuuza jezi za Al Ahly hapa mjini.
 
Mzee wa fitna!!sasa hivi kaanzisha mradi wa kuuza jezi za Al Ahly hapa mjini.

Ni urofa tu anahangaikia kuifitini Yanga wakati timu yake inagongwa vibaya vibaya, poleni watani zetu kwa kuwa na kiongozi mbulula.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…