Najikinga kwa Mwenyezi Mungu anilinde na Maovu ya Duniani.WAZINZI, WEZI, WALEVI, WANAFIKI, WAONGO, WALA RIBA, WASIO HESHIMU WAZAZI, WASIO SWALI, na WAFITINISHAJI.
Shetani ni adui wa kweli kwa Binadamu.

je unaijua Kazi yake katika jamii?
"Hapendi kuona AMANI katika Ndoa",
Hataki kuona UKISALI",
Anapenda kukuona ukitafuta "PESA" Bila kuridhika!"
Je unajua anapoishi?
Sehemu anayopenda ni pale ambapo hakuna jina la Allah (sehemu ambayo hatajwi Mwenyezi Mungu)!
Vipi unawafahamu rafiki zake?
Rafiki zake wakubwa ni...!
WAZINZI, WEZI, WALEVI, WANAFIKI, WAONGO, WALA RIBA, WASIO HESHIMU WAZAZI, WASIO SWALI, na WAFITINISHAJI.
JE unaijua fimbo yake ya kumpigia?
Wewe sema AUDHUBILLAH MINASHAYTWAANRAJIIM! (Najikinga kwa Mwenyezi Mungu anilinde na Shetani)
Au wewe mtaje , MUNGU kila mara mfano, uwe unasema ALLAH AKBAR (Mungu Mkubwa kuliko kila kitu), N.K
Mimi nimefikisha ujumbe kwako je wewe unamfikishia nani?
Shetani toka.
Jazakallah khayr. Umefanya jambo jema sana kutukumbusha wana JF juu ya mambo mema na juu ya kujiepusha na mabaya.