Huyu ndio Putin rocket proof Car

Aina gani ya gari hiyo?

Imeandikwa president...sasa sijui ni aina au? Maana wajapan nao wana magari yana hilo jina...

Ila nadhani itakuwa ni unique type hivyo haina haja ya kuwa na jina...
Na hata utoe order unaweza usitengenezewe...chezea Mrusi....
 
Hiyo ni Nissan President

No sidhani...ina maana ametengeneza mjapani...we we we...
Hujui mjapan na Maarekani ni mtu na bwanake...

Hilo neno president ni kuonyesha kuwa ni gari la mkulu...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…