Anajiita mze wa sabini, yeye kazi yake anadili na watu wenye tabia mbaya katika jamii. Kama umevaa hovyo akikukamata unakula sabini, kama unaongea maneno mbofumbofu unapata sabini. Ukidoji shule unakula sabini

Wampeleke Bungeni. Nafikiri akitembeza sabini pale Mjengoni, Bunge litapata mwelekeo sahihi. Siku hizi Wabunge wamekuwa na lugha chafu sana na utoro bungeni umezidi.