Huyu Ndio JK Bana!!!!!

mpaka kipindi chake kiishe cha moto tutakiona au alipania akiingia madarakani lazima amalize nje zote duniani mana too much.
 
Mheshimiwa sana Didas Masaburi aliposema viongozi wa tanzania wanafikiri kwa kutumia ''MAKALIO'' alitumia tafsida tu ili asigombane zaidi na watu ila hiyo ndo hali alisi. Tuchague viongozi wanaotumia ''AKILI'' na si ''MAKALIO YAO'' naunga mkono hoja.
 

Safi sana, lakini pia tungeambiwa safari zote hizo zimekua na tija gani kwa taifa maskini kama Tz?
 
Muuza sura aka bishoo aka sharobaro aka kilaza aka zero brain aka hajui lolote la maana la kuisaidia nchi..hivi misheni yake b4 kuukwaa uprzdaaa ilikuwa ipi,
Kusafiri sana nje ya nchi yake kuliko marais wote waliomtangulia
 
Its true Great thinker,sasa hivi Tanzania inaenda yenyewe tu kama puto hewani,haina rais, maana kama uongozi wenyewe
ni huu wa JK hata mwanafunzi aliyemaliza Form iv tu anaweza kuongoza nchi.Jamani watanzania tuonyeshe kuchoshwa kwetu
na huyu jamaa tuungane na wanaharakati ambao wameanza!!!!
 
Muuza sura aka bishoo aka sharobaro aka kilaza aka zero brain aka hajui lolote la maana la kuisaidia nchi..hivi misheni yake b4 kuukwaa uprzdaaa ilikuwa ipi,

Kutariii dunia nzima.
 
Kweli Tuu shamba la bibi a.k.a kichwa cha mwenda wazimu, yote haya yanaendelea nabado tuna zidi kutia juhudi katika kukunjia mkia tumboni kwa kutishwa na ndugu zetu tunao endelea kuteseka nao 'Polisi'. Bila kijitambua bado tuna safari ndefu mno!
 
Hiyo ni safari ya mkuu wa kaya, hamjasema safari sa makamu wa rais, mtoto wa mkulima aka mkaidi wa amadactar, ambazo zote hazina tija, naamini wameitesa nchi yetu, nakutufanya tuishi maisha ya kubahatisha, ole wetu sijui tutaishi vipi ikiwa ujambazi unafanywa na tunaowaamini?
 
Safi sana, lakini pia tungeambiwa safari zote hizo zimekua na tija gani kwa taifa maskini kama Tz?

zilete tija gani?? ameenda kuuza sura tu so far kwa mtazamo wangu!
ww imagine Rais anazurura hadi hadi anakoso muda wa kusoma nyaraka tofauti tofauti zinazoletwa. ni mzandiki huyu mtu wala hana jema kwa nchi yetu ya Tanzania, amelifanya taifa shamba la bibi basi mmh.
 
dah kweli kabisa tulioshtuka wachache halafu tumechelewa haswaa yan mmh! naionea huruma Tz na watz kwa hali ilivyo sasa nchini kwetu mmh.
 

Nimeipenda hii lakini ili inoge zaidi ongeza na projection mpaka hapo 2015, halafu jaribu kuongeza madai ya madaktari, je asingeenda safari ngapi madaktari wangelipwa madai yao?
 
Nimeipenda hii lakini ili inoge zaidi ongeza na projection mpaka hapo 2015, halafu jaribu kuongeza madai ya madaktari, je asingeenda safari ngapi madaktari wangelipwa madai yao?
yah, hawa watu wanagoma with logic yan! wanajua uwezo wa madai yao kutekelezwa hata nusu yake basi we cheki huyu mwenzetu Rais mtukufu anavyospend aisee mmh! inauma haswa. ni extra vagancy mmoja balaa.
 

Coincidence kwenye namba hizo nimependa

Wajawazito pia na watoto wao..............very sad.


 

hapo red yan mm sina iman nao kbs yan mmh! nawaona wabadhirifu tu.
 
Safari zote hizi zimelisaidia nini Taifa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…