Huyu ndio binti Komando

Kwanza atueleweshe vizuri kapita wapi?picha inaonesha nyuma kwa Jide,sasa ndo tuelewe alikopita au,,,tupe ufafanuzi zaidi mkuu.
 
aisee kujua mashine nzuri unaangalia sura mkuu? kuna mademu wanasura nzuri mashine haifai acha kabisa nisiseme mengi..... gadner alitulia sema kwa kuwa binadamu tunahulka ya kuchoka ndiyo kachoka kasepa ... its nature okey

Ugomvi wa watu waliowahi kushea shuka usiuingile utaumbuka
 

Kwani kuna shida gani kuumiliki mzigo kama huo kamanda?
 

Usiogope, kuna watu humu wanataka kuhakikisha kweli yupo single sasa? Wanataka kumpigia misele, wanajua wakikaa humo, kazi yao ni kukatika tu, wanapumzika shida kwa few years.

Ha ha ha mario aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…