Msimzinguwe mtoa mada..yuko sahihi.
Gadner kapita ndio...kachapa hiyo mashine kaimwaga kisha kasepa...thats a fact. Au mulitaka asemeje? Kwamba ngoma ya gadner?....huyo ni x wa gadner...kachapa imelala kasepa.
But mzigo kama huo kuumega ilikuwa inahitaji moyo ka wa mwendawazimu vile...mie namkubali nyimbo zake tu na struggle zake kwenye maisha na ubishi wa dar....ila likija suala la kummiliki dahh...ngumu sana aisee.
Pamoja komandooooo.....aje adui mwingine