Huyu naye anajiuza tu

pistmshai

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2016
Posts
1,313
Reaction score
3,689
Tofauti iliyopo kati ya yule mwanamke anayekubali kuingia kwenye mahusiano au ndoa kabisa kwa sababu anataka kujimudu kiuchumi kutoka kwa mwanaume wake, na yule mwanamke aliyejitegesha kwenye danguro usiku akijiuza mwili wake kwa wanaume wapita njia ili alipwe kwa huduma yake... ni ndogo sana.. ila hawa wote ni MALAYA.

Tofauti yao ni ule mstari unaomtenganisha mbadhilifu wa mali za umma kwa kutumia document za ofisini [ huwa wanamuita Fisadi ] na yule mtu ayevunja banda la kuku usiku kwenye nyumba ya jirani na kuondoka nao [ huwa wanamuita Kibaka ].. ila hawa wote ni WEZI.
 
Kahaba ndiye muuza nyapu malaya anaweza akawa hauzi ila anapenda tuu tupu yake idukuliwe na kila mwanaume, wengine unaweza kukuta hana shida ya pesa ila kinamuwasha tuu
 
Kwa mantik ya kujikwamua kiuchumi wote ni malaya,. lakin malaya halis ni yule anaefanya tendo la ndoa na mwanaume zaid ya mmoja.
Na je waliopo kwenye ndoa ila wanafanya na mwanaume zaidi ya mmoja je?
 
Yule anaekua kwa office n
Malaya kuliko anaeuza
Kwenye madanguro

Anaesuza kwenye madanguro
Utamkuta akiwa salama

Lakin yule anae kuwa kwa office unamkuta na vidonge
Vya rv HIV
 
Na je waliopo kwenye ndoa ila wanafanya na mwanaume zaidi ya mmoja je?
kama anafanya hvyo kwa tamaa ya kukunwa ni Malaya ila kma atafanya kwa tamaa ya pesa ni changudoa huyo.
Kwa kifup Malaya yeye anapenda tu kukunwa, changudoa anapenda pesa..wote haijalish wako ndan ya ndoa au nje ya ndoa
 
Aliyeamua kutulia na mwanaume mmoja si malaya, uliumbiwa m said ii akaitaja Hawa (Eve)
Kwa nilivyo muelewa mleta mada, amemdifaini changudoa kama mwanamke anaye ingia ktk mahusiano na mwana mume kwa muda mrefu au mfupi.mahusiano hayo yakiwa na lengo la kumpa kuishi kwake huyo mwana mke, kula, kuvaa,kutibiwa,......... Kwa mahana nyingine Yule anaye jiuza kwa watu tofauti tofauti ameshindwa kupata permanent bread earner.
 
Kwa mantik ya kujikwamua kiuchumi wote ni malaya,. lakin malaya halis ni yule anaefanya tendo la ndoa na mwanaume zaid ya mmoja.
Sasa unadhani kama kigezo chake cha kuolewa ni pesa za mwanaume, akikutana na wengine wenye pesa zaidi huko pembeni inakuwaje, SI NDIO MAANA WATU WANAGONGEWA TU SIKU HIZI HATA MAOFSINI, HAO WOTE NI MALAYA TU TENA NAWACHUKIA MNO HAO WANAFIKI!
UNAKUTA MWANAUME NA KAJIUCHUMI KAKE ANAJIONA ANA HESHIMA , KAOA, ANA FAMILIA KUMBE WANAMMEGEA, ANAOGELEA SHOMBO LA WAPUMBAVU FULANI, [emoji45][emoji53][emoji34][emoji51]
 
Kahaba ndiye muuza nyapu malaya anaweza akawa hauzi ila anapenda tuu tupu yake idukuliwe na kila mwanaume, wengine unaweza kukuta hana shida ya pesa ila kinamuwasha tuu
Ndio hapo haswa, wale walioolewa wengi ni malaya wanadukuliwa tu , kwa maana nyingine kahaba nialaya ila malaya sio lazima awe kahaba na kwa jinsi hiyo WANAWAKE AMBAO SI MALAYA NI WACHACHE NA NDIO HUITWA MKE MWEMA,
 
Kuna aliyekuuliza?
 
Aliyeamua kutulia na mwanaume mmoja si malaya, uliumbiwa msaidizi kumpa jina Hawa (Eve)
bado hiyo haimsafishi mwanamke anayejiingiza kimahusiano kwa mwanaume ili kujikimu kiuchumi..
 
Ndio hapo haswa, wale walioolewa wengi ni malaya wanadukuliwa tu , kwa maana nyingine kahaba nialaya ila malaya sio lazima awe kahaba na kwa jinsi hiyo WANAWAKE AMBAO SI MALAYA NI WACHACHE NA NDIO HUITWA MKE MWEMA,
Kwa tafsiri hii, je kuna kahaba ambaye si malaya ki hulka?
 
Kwa tafsiri hii, je kuna kahaba ambaye si malaya ki hulka?
Kihulka kila kahaba ni malaya, kwasababu alipenda kufanya hivyo kwann asingependa kujishughulisha hata na kukaanga vitumbua baada ya kufanya mara mbili tatu na kujipatia kimtaji fulani,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…