Soma hapa nimecopy kama yalivyo
Mizigo mingine kichefuchefu sana tuu, milimtongozaga mume wangu facebook
nikajiweka mtu mwingine no ya simu alitoa, offer ya kunipick nikapewa tena kwa
gari tuliyonunua wote na nikaambiwa nategema kuenda kikazi mahali kwa muda wa
week moja sikuamini na macho yangu wanaume wengine viazi mtu humjui hujui tabia
zake tena facebook bado unajiandaa kutoa mdudu wako ka si HIV ninini. soma
nyaraka mama mijiwanaume mingine ni laaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana full stop.
Je anafaa katika jamii???????
Wadau,
Kwa mara ya kwanza nimesoma comments kwenye blog moja nimekutana na haya MAoni yametolewa na mdada kwenye maada ya ABIRIA TUNZA MZIGO WAKO

HTML:Soma hapa nimecopy kama yalivyo Mizigo mingine kichefuchefu sana tuu, milimtongozaga mume wangu facebook nikajiweka mtu mwingine no ya simu alitoa, offer ya kunipick nikapewa tena kwa gari tuliyonunua wote na nikaambiwa nategema kuenda kikazi mahali kwa muda wa week moja sikuamini na macho yangu wanaume wengine viazi mtu humjui hujui tabia zake tena facebook bado unajiandaa kutoa mdudu wako ka si HIV ninini. soma nyaraka mama mijiwanaume mingine ni laaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana full stop. Je anafaa katika jamii???????
Wote hawafai kwa sababu mpaka jamaa yako kafika huko ujue ya kuwa ana mushkeli mkubwa na wewe..................you are not compatible, to put it mildly..........................
ila hii riwaya inanitia mashaka ya kuwa huyu njemba yaelekea alikuwa anatosa ndoana tu haimaanishi ya kuwa lazima angefuatilia kila kitu mpaka afike mwisho wake............................hiki siyo kipimo sahihi cha infi................ya mzee wake.......ninamshauri mama huyu arudi kwa nyumba na kumpigia mzee magoti kwa kumdhalilisha ......................
So typical of men kuteteana, hapo iko wazi kabisa, jamaa mpaka aliaga in advance...
Wadau,
Kwa mara ya kwanza nimesoma comments kwenye blog moja nimekutana na haya MAoni yametolewa na mdada kwenye maada ya ABIRIA TUNZA MZIGO WAKO
kuaga hakuna shida badi hajafumaniwa ila kawekwa kwenye mtego...............................wewe unakwenda kumjaribu mzee wako sasa wategemea afanye nini? It takes two to rumble...............................................HTML:So typical of men kuteteana, hapo iko wazi kabisa, jamaa mpaka aliaga in advance...
HTML:Wadau, Kwa mara ya kwanza nimesoma comments kwenye blog moja nimekutana na haya MAoni yametolewa na mdada kwenye maada ya ABIRIA TUNZA MZIGO WAKO
hivi kwenye mapenzi dada zetu ni abiria tu..........wa kupelekeshwa watakako au hata wasikotaka?
Nani sasa anafaa mke au mume?Wadau,
Kwa mara ya kwanza nimesoma comments kwenye blog moja nimekutana na haya MAoni yametolewa na mdada kwenye maada ya ABIRIA TUNZA MZIGO WAKO
Soma hapa nimecopy kama yalivyo
Mizigo mingine kichefuchefu sana tuu, milimtongozaga mume wangu facebook
nikajiweka mtu mwingine no ya simu alitoa, offer ya kunipick nikapewa tena kwa
gari tuliyonunua wote na nikaambiwa nategema kuenda kikazi mahali kwa muda wa
week moja sikuamini na macho yangu wanaume wengine viazi mtu humjui hujui tabia
zake tena facebook bado unajiandaa kutoa mdudu wako ka si HIV ninini. soma
nyaraka mama mijiwanaume mingine ni laaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana full stop.
Je anafaa katika jamii???????
Rutashubanyuma hapo unakosea kwani kutest mwenzako uaminifu wake ni kosa? Jamaa kaonyesha udhaifu wake na atakuwa mshamba tu, wanaume wajanja siku hizi zikitokea hizo wanahisi ni wake zao hivo wanajifanya kutukana mbaya mpaka mke atajiona chooHTML:Soma hapa nimecopy kama yalivyo Mizigo mingine kichefuchefu sana tuu, milimtongozaga mume wangu facebook nikajiweka mtu mwingine no ya simu alitoa, offer ya kunipick nikapewa tena kwa gari tuliyonunua wote na nikaambiwa nategema kuenda kikazi mahali kwa muda wa week moja sikuamini na macho yangu wanaume wengine viazi mtu humjui hujui tabia zake tena facebook bado unajiandaa kutoa mdudu wako ka si HIV ninini. soma nyaraka mama mijiwanaume mingine ni laaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana full stop. Je anafaa katika jamii???????