frema120
JF-Expert Member
- Jan 1, 2012
- 5,098
- 1,341
Nipo naangalia hiyo channel, kuna mzee anaongea utumbo sana sambamba na mtangazaji kuto control vizuri kikao husika.
Anaenda nje ya mada kuu, anatukana watu, magazeti kama Tanzania daima kuwa ni la kishetani n.k
Naomba kumjua pls.
Kipindi kinaendelea kuchangia
SMS 0759 886 802
SIMU 0737 218 285
Anaenda nje ya mada kuu, anatukana watu, magazeti kama Tanzania daima kuwa ni la kishetani n.k
Naomba kumjua pls.
Kipindi kinaendelea kuchangia
SMS 0759 886 802
SIMU 0737 218 285