Huyu mwanaume jamani!

wanaume....mmmmh..
umetoa mahari, mkeo ana mimba wamshauri aitoe??? mbona simuelewi huyo jamaa!!
 
Kuna muda mwanamke anatakiwa awe na maamuzi yake sahihi na sio kuamuliwa kama ilivyozoeleka
 

Jamaa ana mashaka na hiyo mimba labda sio yake.
Kakystukia anataka aone mtoto.
Ulikuwa unafanya kazi kwa Wahindi? Jamaa anasubiri aone rangi ya mtoto.Pole lakini.
Mabinti mnajiachia mno kufungua chu..pi zenu.
 
Kama ni amani? Kwa nini hataki wazazi wajue? Huenda ana mke mwingine? Ila mi sijui lakini jaribu kufuatilia kwa umakini huenda "unakatwa kiaina"
 

Bonge la pweint!! Wewe Jack fanyia kazi ushauri wa Ennie
 

Mkuu mahali ilishapelekwa kwao tayari. Kulichobaki no harusi tu. BTW nimegundua Jamaa ni mvulana hakuna mwanaume hapo. Kuhusu kazi bado sikubaliani nawe labda huyo bosi awe mwanamke ambaye ni tasa! Hakuna ofisi mwanamke anafukuzwa kazi akiwa mjamzito. Ndio maana nikasema yawezekana huyu Dada ndio wale wa kuomba ruhusa kisa rafiki yake kafiwa na bibi. Ukiongeza na ujauzito bosi anaamua akupunguze tu!
 
mh story yake kama inarelate na uzi niliuleta hum jamaa alinishauri nitoe mimba tho nilimdanganya nijue mustand wake... na hivi karibun alisika wenzie akisema dem wake anamimba then yupo arusha... mh. bt anyways napta tu.
don't abort mama

Ipo yenyewe ililetwa na maimatha
 
Last edited by a moderator:
Pole sana. Haya ni maswala ya kibinafsi sana. Kama una uhakika mimba ni yake piga moyo konde toa taarifa pande zote mbili. Kiafya uwe karibu na ambao watakupa msaada ukiumwa!
 
When u find urself in a hole,then dont start digging instead look for a way out!,Maamuzi ya mwisho unayo mwenyewe!
 
uko na mwanaume alafu hataki kukutambulisha kwao,then una mimba hataki watu wajue,una uhakika gani kwamba baada ya mimba atakuoa au hatamkataa mtoto kama mimba yako sasa hivi tu anataka iwe siri itakuwaje ukija kujifungua kwa nionavyo mimi huyo hana mapenzi ya kweli kwa sasa au ana mpango wa kando anaogopa utamuharibia so future ni yako,fanya maamuzi sahihi nenda waambie wazee wako kwamba una mimba na ni ya mtu fulani akikubali kuwajibika mambo mengine yaendelee akikataa unaweza kufikiria nini cha kufanya
 
Duh! Why do sometimes baadhi ya wanaume tunakua rude hivyo? Huwa tunakua tunawaza nn?
 

Mwanamke ukishamvulia nguo mwanaume thamani yako inapungua ama inakwisha kabisa.Jamaa anaweza akaamua aikuoe akajazake kuchukua mtoto akikua,rai yangu ni kwamba bana mwanzo mwisho mpaka atangaze ndoa.Hata mimi yaani nimeshakuchojoa miaka nenda rudi halafu unataka eti nikuoe kwani jipya ni lipi ntakalotegemea,unanifulia nguo, unalala kwangu hata mwezi mzima, unapika msosi kila siku, naujua mwili wako mpaka makovu yote ya mwilini mwako.Sasa ntategemea kitu gani kipya? Lakini kama umeshanibania sikujui hata kovu lililoko juu ya goti lako, siyajui mapishi yako sasa lazima niwe na mshawasho ile mbaya wa kutangaza ndoa
 
upo njiani kuachwa wewe,,omba ndugu yako akutumie nauli umfate huyo mwanaume wako hukohuko arusha
 
Kama mtu hana upendo wa dhati sioni haja ya kumlazimisha kwa kumfuata Arusha. Maisha ni yako huna ubia na yeyote. Ni uzembe kutojiangalia Afya yako na kumtegemea mtu mwingine. Plan A ilikuwa kuolewa na mwanaume wako huyu laghai
Mamaa changamka. Utapigwa chini muda si mrefu.....funga safari nenda Arusha. Lakini pia waambie ndugu/wazazi wako na wake pia wajue una mimba. Ukichelewa kidogo tu utashaa.
Ukikuta manyoya ujue keshaliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…